MAHITAJI YA KUSAJILI NGO NGAZI YA TAIFA

 

Ili kusajili NGO yako katika ngazi ya Taifa, unahitaji kuwa na mambo yafuatayo:

1. Katiba ya taasisi (Tunakuandalia katiba)

2. Barua ya utambulisho kutoka kwa Msajili wa Wilaya

3. CV za viongozi wakuu watatu: Mwenyekiti, Katibu, na Mhasibu

4. Muktasari wa kuomba muajiriwa

Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia WhatsApp:

https://wa.me/+255693880325

Post a Comment

Previous Post Next Post

Subscribe Us

Subscribe here

JSON Variables